Quantcast
Channel: HABARI – JAMIIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 639

YANGA VETERANI YAIFUNGA SIMBA VETERANI UWANJA WA BANDARI TEMEKE

$
0
0

unnamed

Timu zikiingia uwanjani tayari kwa mchezo unnamed1Wachezaji wakisalimiana unnamed2: Kikosi cha Yanga unnamed3Kikosi cha Simba kabla ya mchezo unnamed4Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu akisalimiana na wachezaji wa Yanga unnamed5Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu akisalimiana na wachezaji wa Simba unnamed6Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu akizungumza na vyombo vya habari kabla ya mchezo kuanza, kushoto ni Godfrey Ngonyani Mkurugenzi wa ukaguzi wa ndani

unnamed7Simba wakipewa kombe laoMchezaji wa Simba akijiunga na PSPF

unnamed8Mabingwa wakipewa kombe lao 

unnamed9

Mchezaji wa Simba akijiunga na PSPF

………………………………………………………………………….

TIMU ya Yanga veterani imeibuka mshindi wa mchezo wa kirafiki dhidi ya Simba veterani ulioandaliwa na PSPF, Yanga iliibuka na ushindi wa bao 4-3 na kubeba kombe. Mchezo huo ulifanyika tarehe 1 Januari 2015 katika uwanja wa chuo cha Bandari, Tandika jijini Dar es Salaam.
Hadi dakika tisini zinakamilika timu hizo zilitoka sare ya bao moja kwa moja, mabao hayo yaifungwa na Omari kapilima kwa upande wa Yanga na Barnabas Sekolo kwa upande wa Simba.
Bingwa wa mchezo huo alipatikana kwa njia ya matuta, ambapo kwa upande wa Yanga walipata penalty ni Empram makoye, Ngada Shaganga, Ismail Issa na Deo Lucas. Yanga ilikuwa ikifundishwa na Peter Tino Kasongo Athumani kwa
Kwa upande wa simu waliozamisha penati ni Athumani Chama, madaraka Selemani na Issa Manofu. Simba ilikuwa chini ya Kasongo Athumani.
Lengo la mchezo lilikuwa kutoa burudani kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na maeneo ya karibu hususani katika kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka. PSPF itatumia fursa hiyo kutangaza huduma zake mpya ambazo Mkopo wa Elimu na Mkopo wa Kuanza Maisha.(SOURCE http://www.fullshangweblog.com/)


Filed under: HABARI

Viewing all articles
Browse latest Browse all 639

Trending Articles