Quantcast
Channel: HABARI – JAMIIBLOG
Browsing all 639 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GWIJI WA MASUALA YA MTANGAMANO EAC AFARIKI DUNIA

Balozi Ndayiziga katika mojawapo ya warsha ya EAC hivi karibuni. Kulia ni mtaalamu wa habari na mratibu wa mafunzo ya wandishi wa habari EAC, Bw. Sukhdev Chhatbar Na Mtua Salira, EANA Arusha, Desemba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHUANO MKALI CCM NA CHADEMA UWENYEVITI WA MITAA MKOA WA ARUSHA CCM WAONGOZA...

 wapiga kura sehemu mbalimbali Chama cha mapinduzi (CCM) kimeendelea kuongoza katika uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kuwabwaga mahasimu wao wakubwa Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MAKALA AWATAKA WANANCHI KUWAFICHUA WEZI WA MAJI

Naibu Waziri wa Maji,Mh Amos Makala akiongea na vyombo vya habaria katika ziara yake ya kikazi jijini hapa kwa lengo la kutembelea miradi ya maji iliyokuwa na changamoto kubwa ya upotevu wa maji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARABARA DAR KUENDELEA KUIMARISHWA.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Saidi Mecki Sadiki akifungua mkutano wa Wajumbe wa Baodi ya Barabara ya Mkoa wea Dar es salaam leo. Kushoto ni Katibu Tawala wa mkoa Bi.Theresia Mmbando na Naibu Waziri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAGERA KUJIVUNIA UWANJA WA NDEGE WA KISASA

Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakiwasili kwenye Kiwanja cha Ndege cha Kagera kujionea maendeleo ya Mradi wa Upanuzi wa Kiwanja hicho. Waliotangulia mbele...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA KIKWETE AWATAKA WAKAZI WA MKOA WA LINDI KUJITOLEA KUCHANGIA MADAWATI ILI...

Na Anna Nkinda – Maelezo, aliyekuwa Lindi Wakazi wa mkoa wa Lindi  wametakiwa kuunganisha nguvu zao na kujitolea kuchangia madawati ili kuboresha elimu ya watoto ikiwa ni pamoja na kuimarisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK ATUNUKIWA UDAKTARI WA HESHIMA WA CHUO KIKUU CHA NELSON MANDELA

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Nelson Mandela Dkt.Mohamed Gharib Bilal akimtunuku Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Digrii ya uzamivu ya Heshima (PHD Honoris Causa) wakati wa mahafali ya pili ya chuo hicho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MH.DANIEL FRED KIDEGA AAPISHWA KUWA SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI(EALA)

                                            Spika wa Bunge la Afrika Mashariki(Eala)Daniel Kidega                                                               Spika mpya akila kiapo bungeni leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITUO CHA RADIO 5 WAFANYA KAMPENI YA USHINDI KWA WATOTO YATIMA

Wafanyakazi wa kituo cha redio 5 Arusha wakikabidhi misaada mbalimbali katika kampeni ya “USHINDI”inayoendeshwa na kituo hicho,misaada hiyo ilitolewa na wahisani mbalimbali kwaajili ya watoto wanaoishi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PSPF YATOA MSADA WA MADAWATI BUYUNI II – CHANIKA, DAR ES SALAAM

Afisa Uhusiano mwandamizi wa Mfuko wa Pen sheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (Kushoto), akipena mikono na Ummy Shaaban, mwanafunzi wa darasa la sita shule ya msingi Buyuni II, iliyoko Chanika, wilaya ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ATUNUKU KAMISHENI MAAFISA WA JESHI MONDULI

Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi na kumpongeza Luteni Usu Edwin Engelbert Kessy wakati wa hafla ya kutunuku kamisheni maafisa wa jeshi baada kuibuka mwanafunzi bora wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PLUIJM AZUNGUMZA NA WANAHABARI MAKAO MAKUU YA YANGA LEO

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) Makao Makuu ya Klabu hiyo iliyopo Mtaa wa jangwani Dar es Salaam leo kuhusiana na mikakati ya timu yake....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA RASMI MAJENGO YA TAASISI YA MAFUNZO YA...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa tatu kushoto) akikata utepe kuzindua rasmi Majengo ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania, wakati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAKAYA KIRAIS KWETE AMUWEKA KIPORO MUHONGO, AKUBALI TIBAIJUKA ATUPISHE, BODI...

Rais Jakaya Kiwete akihutubia taifa hii leo katika ukumbi wa Diamond Jubelee jijini Dar es Salaam kupitia wazee wa jiji hilo.    Pampoja na mambo mbalimbali Rais Kikwete amezungumzia Uchaguzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

THE MBONI SHOW YAANZA KUUNGURUMA JANUARY 2 NDANI YA TBC

Mkurugenzi wa Mboni Show, Mboni Masimba (wa pili ktoka kulia) akizungumza na waandishi wa habari jana katika  ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam wakati akitangaza kuanza kwa msimu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KHERI YA MWAKA MPYA WADAU WOTE WA JAMIIBLOG

Waandishi wa habari waandamizi mkoani Arusha wakigonga cheers mara baada ya kufanya halfa fupi ya kuukaribisha mwaka 2015 katika hotel maarufu ya Palace iliyopo jijini Arusha Kulia ni mwaandishi wa a...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ABOOD ATOA MILION 11 KUTATUA KERO YA MAJI MKUNDI MOROGORO

 Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akizindua Tawi la CCM la Wajasiriamali Bodaboda na Mama lishe lililopo Mgulu wa Ndege Kata Ya Mkundi Manispaa ya Morogoro.Mara Baada ya Kuzindua Tawi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAASISI YA FINCA YATOA MILIONI 17 KWA WAJASILIAMALI

Mkuu wa Mkoa  wa Arusha Felix Ntibenda wa pili kulia akikabidhi hundi  ya shilingi milioni 17na laki tano kwa wajasiliamali wa MT meru curios &crafts market wanaojishughulisha na uzaji wa bidhaa za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA VETERANI YAIFUNGA SIMBA VETERANI UWANJA WA BANDARI TEMEKE

Timu zikiingia uwanjani tayari kwa mchezo Wachezaji wakisalimiana : Kikosi cha Yanga Kikosi cha Simba kabla ya mchezo Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu akisalimiana na wachezaji wa Yanga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

REA AWAMU YA PILI KUKAMILIKA JUNI KWA VIJIJI 1,500 KUPATIWA UMEME

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akisisitiza jambo  kwenye mkutano  na  wananchi wa  kata ya  Ijitu iliyopo wilayani Busega. Sehemu ya umati wa wananchi wa kata ya Kalemala...

View Article
Browsing all 639 articles
Browse latest View live