Quantcast
Channel: HABARI – JAMIIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 639

REA AWAMU YA PILI KUKAMILIKA JUNI KWA VIJIJI 1,500 KUPATIWA UMEME

$
0
0
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akisisitiza jambo  kwenye mkutano  na  wananchi wa  kata ya  Ijitu iliyopo wilayani Busega.
Sehemu ya umati wa wananchi wa kata ya Kalemala wilayani Busega waliojitokeza kwenye mkutano na Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo wakifuatilia kwa makini hotuba yake.
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akitoa maelekezo kwa mtaalamu kutoka kampuni ya Symbion iliyopewa kazi ya kujenga miundombinu ya  umeme katika kijiji cha Nyamikoma kilichopo wilayani Busega Bw.  Steve Thomson (kushoto)
Mkazi wa kata ya Ijitu  iliyopo wilayani Busega ambaye  jina lake  halikupatikana mara moja akitoa hoja yake mbele ya Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo ( wa pili kutoka kushoto  waliosimama mbele) mara Waziri alipofanya ziara katika kijiji hicho na kusikiliza kero za wananchi.

Filed under: HABARI

Viewing all articles
Browse latest Browse all 639

Trending Articles